Nataka kujua kwanini wanawake wembamba hawajifungi kanga?

Nataka kujua kwanini wanawake wembamba hawajifungi kanga?

Mbona tunafunga sana tuu jaman na khanga ni kwa wembamba maana mnene hata haizunguki ng'o
 
Principal khanga haifungwi mguu ila kazi kubwa ya khanga ni kukusanya upepo ambao wakati alojifunga khanga akipiga hatua basi ule upepo ukinzane na mwelekeo wa nundu/mkia na kuacha vibration ambazo mara nyingi ni fahari ya macho ya mabazazi!
 
Khaaaaa
Hivi tumewakosea nn nyie wanaume wa jf sisi wanawake wembamba mbona mm khanga najifunga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kesho zamu wa wanene vumilia tu
 
Kanga zinawafaa wale wanawake alio wasema sheikh kipozeo,wenye neema za allah
 
Doh ni kuandamwa tu mara hatufai kuwa mother house [emoji1]
 
Naona hali ya hewa inaanza kubadilika!!
Kagusa pabaya, hebu nifikirie tumiguu turefu kongoro na ngozi weka kwenye pensi halafu mifupa ya mabega ndani ya vest hahahahahaaa inavyochomoka sasa, bora bint asiyefunga kanga anamvuto wake
 
Mbona tunafunga sana tuu jaman na khanga ni kwa wembamba maana mnene hata haizunguki ng'o
Waambie kanga yake mwembamba wa wastani, Mimi haikutani kabisa nafunga matenge kanga najitanda nini sasa hiyo
 
huwa wanafunga kanga mlegezo, hujawahi waona? haipiti kiunoni, inapita katikati ya tako. Mage huwa anatolelezea sana.
 
Bora hata wasiwe wanafunga.. Wakifunga wanazungusha kiunoni zaidi ya mara tatu, mtu unashindwa kusoma ile misemo ya kwenye khanga..
 
sasa mnanichanganya mara mseme wanene wana vitambi vinakera nimeanza diet mnasema wembamba ni shida sielewi nibaki wapi
 
Back
Top Bottom