Nataka kujua mkopo wa Bayport

Sikushauri ukope bayport diffenda wana riba kubwa mnoooo ila niliwauliza maswali kma yako jibu walilonipa ni kua wao mikopo yao ina bima
 
Nakumbuka jamaa yangu alikopa bayport TZS 3.8M jamaa waliandika deni lake kwenye salary slip mkopo wa bayport inabidi alipe TZS 10M.

hakuna aliyekopa bayport atakushauri ukope hapo.

Jamaa akakope bank.

Hao nyang'au aachane nao.ni wezi watupu.
 
🙊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…