Nataka kujua mkopo wa Bayport

Nataka kujua mkopo wa Bayport

Sikushauri ukope bayport diffenda wana riba kubwa mnoooo ila niliwauliza maswali kma yako jibu walilonipa ni kua wao mikopo yao ina bima
 
Dah Dah Dah BAYPORT ACHA KABISA TENA HATA USIJARIBU UTAJUTA MAISHA YAKO YOTA NI HAWAFAI SI KWA KUPIKWA WALA KUOKWA,UTAKATWA MSHAHARA WAKO DENI UTALIPA NA WATAENDELEA KUKATA TENA MARA NYINGI ZAIDI YA ULICHOKOPA,NI HAWAFAIA HAWAFAI NI WEZI NA MAJAMBAZI WASIOTUMIA SILAHA,NEVER TRY THIS
Nakumbuka jamaa yangu alikopa bayport TZS 3.8M jamaa waliandika deni lake kwenye salary slip mkopo wa bayport inabidi alipe TZS 10M.

hakuna aliyekopa bayport atakushauri ukope hapo.

Jamaa akakope bank.

Hao nyang'au aachane nao.ni wezi watupu.
 
🙊
 
Back
Top Bottom