Bartalomeo
New Member
- Aug 24, 2013
- 2
- 1
Najihisi kama uume wangu ni mdogo kiasi kwamba kila mwanamke ninayekutana naye inaonekana kama haridhiki na size ya mboo yangu, kimsingi naboeka sana kiasi kwamba naona nitafute njia ya kuongeza je, Nifanyeje?