Nataka kujua namna ya kuongeza size ya uume wangu

Bartalomeo

New Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
2
Reaction score
1
Najihisi kama uume wangu ni mdogo kiasi kwamba kila mwanamke ninayekutana naye inaonekana kama haridhiki na size ya mboo yangu, kimsingi naboeka sana kiasi kwamba naona nitafute njia ya kuongeza je, Nifanyeje?
 
Siyo hawaridhiki inawezekana nawe hujui kuwaridhisha kwa hiko hiko kibamia chako kwani unawakuta bikra? Yawezekana weshapitiwa na mapapa sa we kidagaa wanaona unawatekenya tu.hivyo ndivyo mungu alivyokuumba jikubali otherwise unatafuta matatizo.may be! Ngoja wenzio waje wanaweza kukusaidia!
 
Nyinyi makaka mbona mnapenda matatizo sasa wewe ndio Mwenyezi mungu amekuumba hivyo unataka kitu kama chapunda kina faida gani hicho kibamia chako wambie wa haya wakufundishe jinsi ya kukitumia
 
Chukua hamira kijiko kimoja cha chai changanya na baking soda nusu kijiko...halafu weka maji kidogo.
Kabla hujalala hakikisha unachukua mchanganyiko huo na kuupakaza kwenye kifanyio chako kuanzia kwenye shina hadi kichwa...vaa pampaz kisha lala.

Zingatia:
Hakikisha korodani hazikutani na mkorogo huo kwani hapo utajitakia busha lisilotarajiwa.

Weka mbali mkorogo huo na I'nye maana utajikuta unakuza kishonde pia.

....................Kila la kheri.............
 

hahahahahahahahahahahaha. U made my sunday mpwa.
 
Umemaliza ma sister!
Mh labda tujazie tu!
Unajua kinachohitajika ni kumfikisha SANGE mwenzie! Mh! Kama hajatulia hata awe na Normal Gegedo (6 inches) bado ataliona dogo!
Nahis tusiangalie ukubwa wa silaha bali tuangalie inateketeza vipi! Waweza kuwa na Mgobole huooo! Ukashindwa na kapistole!

 


We jamaaa utakuwa leo umenyonga ile mambo!!!!!

Muache akuze na ze behind ili kuwe na uwiano maana mzigo ukiumuka lazima kiuno kita bend
 

daaah! Tehtehteh!!
 
Hata Bodybuilders hufanya mazoezi kufanya miili yao kuwa mikubwa.

Wacheza mpira hufanya mazoezi kukuza vigimbi na kuongeza uzito wa mashuti yao.

Na wewe hapo wahitaji mazoezi mengi,na uwanja wako ni papuchi tu...the more you exercise therein the more it grows bigger.

Hupaswi kutumia dawa kwani huo si ugonjwa.

Kila heri.
 
Kaka pole,lakini kumbuka ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi,jitahidi sana kumtayarisha mpenzi wako kabla hujaanza zowezi lenyewe,na mda ukifika wa kutumia hiyo kitu ndogo anakua amesha karibia kufika safari yake,lakini ukikurupuka na hiyo peke yake basi utawabadili wadada kama daladala na mwisho wake wewe ndio utaonekana kituko...
 

umeona eeh? Ukubwa wa pua cyo wingi wa makamasi! Angalie majuto mjukuu!
 
Nenda gym waeleze tatizo lako wale ni wataalam,watakusaidia,kwani kuna aina fulani ya mazoezi ya kuongeza ukubwa wa maeneo hayo.
 
Najihisi kama uume wangu ni mdogo kiasi kwamba kila mwanamke ninayekutana naye inaonekana kama haridhiki na size ya mboo yangu, kimsingi naboeka sana kiasi kwamba naona nitafute njia ya kuongeza je, Nifanyeje?

Unataka kama ya Punda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…