Nataka kujua ndugu zangu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Nataka kujua hivi simba wamewahi kukutana na huu moto wa jezi nyeusi ya yanga?

Kama juma pili ndo itakuwa mara yao ya kwanza basi acha ni fumbe macho yangu alafu niandike RIP simba
 
Pole kwa kukalili mkuu Tukutane hapa Hiyo tar 16 Baleke atakupa majibu sahihi
 
Makolo kszi wanayo J2.. Aziz anamsubir Manura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…