kwisha JF-Expert Member Joined Sep 9, 2021 Posts 1,779 Reaction score 4,982 Apr 12, 2023 #1 Nataka kujua hivi simba wamewahi kukutana na huu moto wa jezi nyeusi ya yanga? Kama juma pili ndo itakuwa mara yao ya kwanza basi acha ni fumbe macho yangu alafu niandike RIP simba
Nataka kujua hivi simba wamewahi kukutana na huu moto wa jezi nyeusi ya yanga? Kama juma pili ndo itakuwa mara yao ya kwanza basi acha ni fumbe macho yangu alafu niandike RIP simba
Bundakwetu JF-Expert Member Joined Nov 18, 2022 Posts 551 Reaction score 1,014 Apr 12, 2023 #2 Pole kwa kukalili mkuu Tukutane hapa Hiyo tar 16 Baleke atakupa majibu sahihi
Zekoddo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 1,859 Reaction score 4,539 Apr 12, 2023 #3 Makolo kszi wanayo J2.. Aziz anamsubir Manura