Nataka kujua ni jinsi gani ya kutengeneza pilipili kama zile wanazotumia wauza chipsi

Nataka kujua ni jinsi gani ya kutengeneza pilipili kama zile wanazotumia wauza chipsi

Joined
Oct 28, 2020
Posts
6
Reaction score
4
Jamani nataka kujua ni jinsi gan ya kutengeneza pilipili kama zile wanazotumia wauza chipsi wa Dar es Salaam na zinakaa kwa muda gani, nimeuliza sana ila sijapata jibu naamini leo nitapata majibu humu JF.

Karibuni kwa maujuzi.
 
Unachemsha pilipili, tangawizi, ndim, kitunguu thaum na karoti nying... Ile rangi ya Kama njano ni carrot na unatakiwa uweke nyingi ili iwe nzito maana hutii nyanya mle na hivyo vingine havinaga uzito... Mind u hutii mafuta unachemsha tu na chumvi hadi ziwive vizuri ikipoa unablend.
 
Unachemsha pilipili, tangawizi, ndim, kitunguu thaum na karoti nying... Ile rangi ya Kama njano ni carrot na unatakiwa uweke nyingi ili iwe nzito maana hutii nyanya mle na hivyo vingine havinaga uzito... Mind u hutii mafuta unachemsha tu na chumzi ad ziwive vizr ikipoa unablend..
Je ukisha blend haufanyi kitu kingine zaidi ya kuzipaki kwenye chombo husika?
 
Unachemsha pilipili, tangawizi, ndim, kitunguu thaum na karoti nying... Ile rangi ya Kama njano ni carrot na unatakiwa uweke nyingi ili iwe nzito maana hutii nyanya mle na hivyo vingine havinaga uzito... Mind u hutii mafuta unachemsha tu na chumvi hadi ziwive vizuri ikipoa unablend.
Weka White Vinegar ili isiharibike, inakaa hata mwezi.
 
Back
Top Bottom