Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Sijui mkuuMkuu kuzingua ndo nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui mkuuMkuu kuzingua ndo nini?
Hujui nini?Sijui mkuu
UlichoulizaHujui nini?
Kipi?Ulichouliza
Chukua embe mbichi kabisaa zile kali kiasi utakazo.Jamani nataka kujua ni jinsi gan ya kutengeneza pilipili kama zile wanazotumia wauza chipsi wa Dar es Salaam na zinakaa kwa muda gani, nimeuliza sana ila sijapata jibu naamini leo nitapata majibu humu JF.
Karibuni kwa maujuzi.
SijuiKipi?
Hujui nini?Sijui
Pilipili ipi inafaa!? Pilipili mbuzi au zile kali na unakadiliaje hizo inputs, ratio yake? Ili zitoe kitu kizuri, let say nahitaji lita moja ya pilipili,nafanyaje!Unachemsha pilipili, tangawizi, ndim, kitunguu thaum na karoti nying... Ile rangi ya Kama njano ni carrot na unatakiwa uweke nyingi ili iwe nzito maana hutii nyanya mle na hivyo vingine havinaga uzito... Mind u hutii mafuta unachemsha tu na chumvi hadi ziwive vizuri ikipoa unablend.
Ninapohitaji lita moja ya pilipili, vinegar kiasi gani naweka?Weka White Vinegar ili isiharibike, inakaa hata mwezi.
Ninavyofanya mimi:
Chukua pilipili kali(toa vichwa/vijiti) zioshe
Tafuta mbilimbi au embe ichi--lichonge na ulikatakata
Chumvi vijiko viwili vikubwa
Vinegar--kikombe kimoja.
Tangawizi--iliomenywa
Vitunguu saumu
Maji ya limao/ndimu
Hakikisha pilipili ni nyingi kuliko viungo.
Weka kwenye blender na usage(ukichemsha itadumu kwa muda mrefu zaidi--mwaka mmoja+,usipochemsha roughly miezi mitatu).
Ukitaka idumu--chemsha chupa(chupa ya jam au yenye kifuniko cha chuma ni bora zaidi) ya kuhifadhia na maji moto ili kuitakasa.
Kisha ukishamimina,geuza chupa juu chini kwa muda ya lisaa limoja ili hewa extra itoke.
Process hii unaweza kutumia pia kwenye kusindika nyanya zikishuka bei
Kila la kheri!
ndimu nzima auUnachemsha pilipili, tangawizi, ndim, kitunguu thaum na karoti nying... Ile rangi ya Kama njano ni carrot na unatakiwa uweke nyingi ili iwe nzito maana hutii nyanya mle na hivyo vingine havinaga uzito... Mind u hutii mafuta unachemsha tu na chumvi hadi ziwive vizuri ikipoa unablend.