Barua kutoka bangui
Member
- Oct 28, 2020
- 6
- 4
Pilipili ya kupikwa, most of the time zinakuwa za njano na Dar zinatumika sana ila uwekwa kwenye makopo ya chill.Elezea vizuri
Pilipili ya kupikwa Au chill??
Nashukuru sana kwa elimu yakoKama uliziacha zikaiva vizur inakaa had week bila Fridge pasipo kuharibika.. Kama una fridge inakaa had umalize
Je ukisha blend haufanyi kitu kingine zaidi ya kuzipaki kwenye chombo husika?Unachemsha pilipili, tangawizi, ndim, kitunguu thaum na karoti nying... Ile rangi ya Kama njano ni carrot na unatakiwa uweke nyingi ili iwe nzito maana hutii nyanya mle na hivyo vingine havinaga uzito... Mind u hutii mafuta unachemsha tu na chumzi ad ziwive vizr ikipoa unablend..
Weka White Vinegar ili isiharibike, inakaa hata mwezi.Unachemsha pilipili, tangawizi, ndim, kitunguu thaum na karoti nying... Ile rangi ya Kama njano ni carrot na unatakiwa uweke nyingi ili iwe nzito maana hutii nyanya mle na hivyo vingine havinaga uzito... Mind u hutii mafuta unachemsha tu na chumvi hadi ziwive vizuri ikipoa unablend.
Miss nakupendaKama uliziacha zikaiva vizur inakaa had week bila Fridge pasipo kuharibika.. Kama una fridge inakaa had umalize
Mcheki my sister hapo, halafu haya mapishi mapishi pendelea kuangalia Youtube kila kitu kipo.Je ukisha blend haufanyi kitu kingine zaidi ya kuzipaki kwenye chombo husika?
Mkuu kuuliza siyo ujinga!Ku blend ni kufanya nini?Je ukisha blend haufanyi kitu kingine zaidi ya kuzipaki kwenye chombo husika?
Upo vizuri wanguWeka White Vinegar ili isiharibike, inakaa hata mwezi.
Kuweka kitu kwenye blenda na kusaga, mfano maembe yanavyosagwa kwenye blenda ili kupata juice ya embe.Mkuu kuuliza siyo ujinga!Ku blend ni kufanya nini?
Unanitia aibu rafikiMkuu kuuliza siyo ujinga!Ku blend ni kufanya nini?
Unanitia aibu rafiki
Najua anazingua [emoji3]Muongo huyo
Kusaga mkuuMkuu kuuliza siyo ujinga!Ku blend ni kufanya nini?
Mkuu kuzingua ndo nini?Najua anazingua [emoji3]