Nataka kujua nini maana ya hili jina Tukinao

Tukinao ni neno alilokuwa anapenda kulitamka Veronica Mpangala kwenye shindano la Bibi Bomba (Clouds). Nadhani lina maana kwa wenyeji kama sikosei kutoka Ruvuma.

Zari kuitwa Tukinao/bibi bomba ni kwamba anafananishwa na ajuza.
Duh!
 
Pia katika shindano hilo,kuna bibi wa kimakonde alikuwa maarufuvkwa jina hili Tukinao.
 
Nyooo mumuache mudada wa watu wewe ndio yule unaesifia watoto wa jirani wana afya huku wako ukiwalisha misumari dale
Ubibi utaanza in this order..Mange,Wema,Zari,Hamisa Then Lulu.
ki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…