Nataka kujua nini maana ya hili jina Tukinao

Tukinao ni neno alilokuwa anapenda kulitamka Veronica Mpangala kwenye shindano la Bibi Bomba (Clouds). Nadhani lina maana kwa wenyeji kama sikosei kutoka Ruvuma.

Zari kuitwa Tukinao/bibi bomba ni kwamba anafananishwa na ajuza.
Duh!
 
Pia katika shindano hilo,kuna bibi wa kimakonde alikuwa maarufuvkwa jina hili Tukinao.
 
Back
Top Bottom