Nataka kujua nini maana ya hili jina Tukinao

Attachments

  • Screenshot_20171014-214639.png
    278.9 KB · Views: 48
Kuwa mzee siyo dhambi wala kosa, ila kutuzidi kipato, uzuri na nk ndo kosa.

Kwa hiyo tutatafuta cha kukutukania.
Billy umeongea bonge la point hii yoote ni wivu wa maendeleo ndo.mana kutwa kumtukana mdada wa watu,si wapambane kwanza wanavyomshusha wanamfanya kila siku afanye kitu tofauti na wao na hivyo kuendelea zaidi na zaidi na wao kubaki walipo
 
Nahisi sababu kubwa ni kuwa kwa umri wake na matendo yake haviendani. Kama ana miaka zaidi ya 30, halafu kwenye mitandao ya kijamii anapost picha kama za vijana WA below 18, ndipo hao vijana wanapoona wameingiliwa kwenye mambo yao.
 
Tukinao ni neno alilokuwa anapenda kulitamka Veronica Mpangala kwenye shindano la Bibi Bomba (Clouds). Nadhani lina maana kwa wenyeji kama sikosei kutoka Ruvuma.

Zari kuitwa Tukinao/bibi bomba ni kwamba anafananishwa na ajuza.
DUUUUH WE NOMA
 
Billy umeongea bonge la point hii yoote ni wivu wa maendeleo ndo.mana kutwa kumtukana mdada wa watu,si wapambane kwanza wanavyomshusha wanamfanya kila siku afanye kitu tofauti na wao na hivyo kuendelea zaidi na zaidi na wao kubaki walipo

Ukiona adui anakushangilia/anakusifu jua kuna mahali unakosea so anakupumbaza.

Ila ukiona anakukosoa jua unafanya vizuri, kazia hapo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…