Nataka kujua nini maana ya hili jina Tukinao

Watu wana chuki sana jamani,hivi miaka 37 ni bibi?Au basi tu wametafuta kasoro wakakosa?Hao Team Hamisa na Wema hawana kazi ya kufanya.Wacha waendelee kumtukana ila wajue na wao umri hausimami na wakati haurudi.
Na maajabu ya dunia hii, Mange Kimambi ambae nae anacheza humo humo lakini na yeye anamuita mwenzake kibibi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…