Nataka kujua wanajamvi...

Nataka kujua wanajamvi...

The genius62

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
200
Reaction score
168
Wasalaam,,,Familia ya great Thinkers....

Kuna mambo huwa yananitatiza jamani,,nataka kujua uhusiano wa utendaji kazi wa mtu na
vitu viwili,,,
1.feelings na utashi wa akili katka upambanuzi wa mambo au
2.unafanya kitu kutegemea mazingira mfano..unatakiwa ukalime kutokana na msimu wa kulima umefika..???? na sio unalima kwakua unajiskia kulima kwa wakati huo...

labda sijaeleweka yani ni kama hivi mtu anakula kwasababu anaskia njaa (feelings +utashi wa ubongo) au anakula kutokana na utaratibu wa kula i.e ule asubuhi ikifika mchana ule na jioni ule piaa cjui kama naeleweka jaman...

kadhalika unakuta mtu anakwambia "tumia akili bwana" ndo kufanyeje sasa inamaana watu kama wasomi wametumia akili??? wametumia wapi ss?? katika usomaji au??? ok watu wanasema yule jamaa anaakili kinoma huwa anafanyeje mpaka wanaona vile..lets say labda watu wapo chuoni pale wew ukienda kutafuta mtu anaetumia akili utampataje au ndo yule mwenye GPA kubwa??

kuna tofauti kati ya akili na ubunifu??

plzzz msaada jamani huwa najikuta nafkiria mambo meng ya ajabu cpati majibu
 
Kiasili watu tumetofautiana kiakili na hata kiubunifu ndio maana unaona kila mtu ana kitu chake special and unique...

Inabidi uelewe vyote hivyo vinaratibiwa na Ubongo... Ndio maana unaona kuna mtu anapambanua mambo kwa uwezo wa chini, kati na hata juu
 
Mkuu hivyo vyote vinafanya kazi kutokana na mazingira na ujazo wa mtu husika.. akili(ubongo) ndio pia mratibu wa hisia,lkn tofauti iliyopo ni kuwa maamuzi ya hisia si yakufikiri sana! ila maamuzi ya akili huwa niyakinifu.
yote ni maamuzi lkn yanategemea ujazo wa mtu husika ktk ufahamu wake na mazingira.

Neno hisia lina maana nyingi mkuu ndo maana linakuwa na mkanganyiko.
tunalima sio kwa kufuata hisia bali akili na ndio maana mkiona chakula kimepungua wkt wa kiangazi hlf kuna vyanzo vya maji mtajua cha kufanya.. mazingira yanaweza kukufanya nitarudi...
 
Shkrani mkuu nakusubiri
 
Shkrani mkuu nakusubiri
mazingira yanaweza kukufanya uyafuate lkn si kwamba hautatumia akili lzm utumie tu..hivyo unavyoyafuata tu unatumia akili.
msemo wa kutumia akili hapa wanakuwa na maana kufikiri zaidi ya au kutenda kwa uwezo ulopita ukawaida wa uliozoeleka kutokana na mazingira husika.
wengine wanautumia kama kuonyesha mtu anaetenda zaidi ya wengine/zaidi ya kawaida.

Tofauti ya akili na ubunifu ni,akili ndo inazalisha ubunifu na ubunifu unazalishwa na akili.. kwahiyo ubunifu ni matokeo ya akili.
nimalizie kwa kusema mazingira yamebeba dhana kubwa ya ufahamu wako.
 
Back
Top Bottom