Nataka kujua.

SAMRASI

New Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
2
Reaction score
0
Kama mtu akitukana/akinitukana na nikimpeleka mahakamani......kifungo chake ni miaka mingapi au faini yake nish.ngapi?
 
kifungo miezi sita au faini isiyozidi 50000 au vyote kwa pamoja. Muda wakesi si chini ya miezi sita kabla ya hukumu.
 
 
@SAMRASi hiyo ni kazi ya mahakama kuamua kumtoza faini au kifungo au vyote kwa pamoja lakini pia mwenendo mzima wa kesi huangaliwa
 
Pia ukumbuke pia adhabu haiji tu hivi hivi lazima uthibitishe kwamba maneno aliyoyatoa ni matusi kwa jamii inayokuzunguka pia yalitolewa kimaandishia au kimatamshi nani alisikia nk...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…