Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Watanzania Sijui Tukoje ?Ushamgeuza fursa mwenzio dah!
Tuna Roho Mbayaaa Tunazificha Kwa Kuwa Tuna DNA Ya Unafiki.
Ndio Maana Tutakuwa Masikini Wa Kutupa Milele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania Sijui Tukoje ?Ushamgeuza fursa mwenzio dah!
Sio wewe mkuu,namuliza huyo jamaa anaekuambia ukawekeze kwenye biashara yake.Hapa mkuu simfaham, ni biashara ya duka la mazagazaga kwa kifup
Aliyesema hivi ndio ana roho mbaya 'Biashara Ya Mahitaji Ya Majumbani Ni Za Kizamani Na Hazina Mwendeldzo Na Hazifai Kabisa Kwa Kijana Anaefikiria Kwa Karne Ya 21'................Watanzania Sijui Tukoje ?
Tuna Roho Mbayaaa Tunazificha Kwa Kuwa Tuna DNA Ya Unafiki.
Ndio Maana Tutakuwa Masikini Wa Kutupa Milele.
Ndugu, sikushauri uchukue mkopo halafu uweke mtu, utalia kilio cha mende.Kwa mtaji wang huo, sitaweza kuweka ga japo mpesa itakuwepo coz fridge, mizani na showcase ya kioo ninayo tayari
Unajua walio sema "Biashara asubuhi,jioni mahesabu"Nitajitahid mkuu ule mda wa jioni kuanzia saa kumi mpaka kufunga saa 4 niwepo pamoja ma weekend
Duu, pamoja na riba ntarudisha kama 6.2 mil kwa miaka miwil na nusu,Unajua walio sema "Biashara asubuhi,jioni mahesabu"
wana akili sana? unajua waliangalia vitu vingi?
sikushauri kabisa u kope halafu uajiri mtu
hapo ni sawa na umemkopea huyo unaetaka kumuweka asubuhi mpk hyo saa kumi
swali:
una uhakika atairudisha hiyo 5M???? hiyo hela huku JF ni ndogo sana
ila mtaani na kwenye biashara saivi 5M mlima wake si haba mkuu
Hapo hujatuekea RIBA.
Mi simo
Chagua 1Duu, pamoja na riba ntarudisha kama 6.2 mil kwa miaka miwil na nusu,
Nifanyeje sasa mana mshahara naona tu haunitoshi zaid ya kunifanya niwe nasubr sms ya nmb kila mwisho mwez ili nilipe maden
Nikweli hata mimi nafanya mobile money....ingawa unaweza kupigwa lakini ni rahisi kujuaUshauri wangu ungeweka biashara ambao ni ngumu kupigwa na mfanyakaz bila wew kujua...ungeweza kuweka biashara ya miamala,m pesa,tigo pesa,maxmalipo n.k, pia ungeweza kuweka gas kama location inaruhusu
Mfanyakazi hana lakuiba hapo labda akimbie na pesa
Poor Mentality a.k. Low thinking capacityUshauri wangu ungeweka biashara ambao ni ngumu kupigwa na mfanyakaz bila wew kujua...ungeweza kuweka biashara ya miamala,m pesa,tigo pesa,maxmalipo n.k, pia ungeweza kuweka gas kama location inaruhusu
Mfanyakazi hana lakuiba hapo labda akimbie na pesa
Poor Mentality a.k. Low thinking capacity
Skuizi watu ni Kukopy biashara tu kuanzisha zao hawataki kabisa
Kama Kweli Una Nia Ya Mafanikio Wekeza Kwenye Biashara Yangu ( Parnership ) Kwa Kuwa Utakuwa Kwenye Makaratasi Yote Kisheria Na Utajua Kila Kinachoendelea Kwenye Kampuni.
Biashara Ya Mahitaji Ya Majumbani Ni Za Kizamani Na Hazina Mwendeldzo Na Hazifai Kabisa Kwa Kijana Anaefikiria Kwa Karne Ya 21.
Ukiwekeza 10 Milioni Kuna Uwezekano Kabisa Wa Kuzalisha Mpaka Milioni 1 Kwa Mwezi Wakati Kwa Duka La Kawaida Huwezi Kupata.
Kumbuka Ukikopa 10M NMB Utakuwa Ukikatwa 253,000 Kila Mwezi Kwa Miaka 5 Na Kwa Kuwa Mshahara Wako Ni Tsh 353,000 Utcakiwa Na Nini Kwa Kuishi Miaka 5 Ijayo ?
Kama Kweli Una Nia Ya Kutoka Kimaisha, Wekeza Kwangu Na Kampuni Itakuwa Inalipa Mkopo Wako Wakati Wewe Ukiwa Aidha Na Kipato Kile Kile Pamoja Na Umiliki Wa Kampuni Au Zaidi.
Ila Duka La Mazaga Tena Kwa Kumweka Mtu, Utajuta Kwa Miaka 5 Ijayo.
Poor Mentality a.k. Low thinking capacity
Skuizi watu ni Kukopy biashara tu kuanzisha zao hawataki kabisa
Diot kabisa kwani wewe hauwezi enda bank ukakopa yani umemgeuza mwenzio fursa akope yeye aweke kwenye biashara yako, acha umak* na kupenda kitonga kama unaona bzness yako inatoka andika proposal au tengeneza business plan uwezi kosa Capital sio kuja subiri wenzako wakope pesa zao wewe uje ujisogeze
Muache tu huyo labda ni wale Wa 'tuma kwa namba hii'
Na mwamba asipokua makini,,, atakuja kuanzisha uzi mwingne akiwa analia lia apa,,,,afikirie anasaidiwa.. Kaitiwa fursa kumbe yy mwenyew ndo fursaUshamgeuza fursa mwenzio dah!