Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua tu utakuja kuwa mkali maana watu kama nyie mnaowaona wenzenu kama fursa mkiambiwa ukweli mnaona kabisa ndege anaruka.Watanzania Sijui Tukoje ?
Tuna Roho Mbayaaa Tunazificha Kwa Kuwa Tuna DNA Ya Unafiki.
Ndio Maana Tutakuwa Masikini Wa Kutupa Milele.
Yaani bado hujaelewa😂, kuna mtu hapo anakulia mingo amekwambia ana-fursa uweke pesa kwenye kampuni lake.Tatizo ni mda wa ziada unakuwa mdgo sana, j3 kazn saa moja asbh mpaka saa kumi jioni ukitoka umechoka, jmos usaf, jpil kuabudu ko mda tunakuwa hatunaa
😆😆😆Mkuu Usitegemee Nikaweka Hapa.
Kama Una Nia Tutafutane.
Kipindi gani maduka yalikua machache?Sikushauri kufungua Duka hata kidogo,Duka la mahi taji ya nyumbani huwezi toboa ,kwanza ili upate faida kidogo linatakiwa kuuzwa na mtu mmoja tena mwaminifu
Wewe unatumia mkopo alafu unamwajiri mtu,na ukiwa unaingia Hesabu zikienda kombo jibu ni jepesi tulikuwa tunauza wote ,ndio njia Rahisi ya kukuibia
Kumbuka hata kama ni la familia anatakiwa muuzaji mmoja kwani tumetofautia mahitaji MF: ukiuza wewe jioni unaweza sema ngoja nichukua 5000 nijipongeze kwa chochote kumbe asubuhi kijana naye alitumia 10000 kuhonga/kununu chchote kwa chinga/ alimtumia Mzazi au kajiwekea malengo.wife pengine akaingia ata lisaa labda kijana alienda kununua mzigo akachukua naye 500 ya kusuka au kuongezea hitaji lake,Mtoto akisoma gepu ya kula Shule hata 1000, kumbe kwa siku mshatumi Hela nyingi bado Yale ya lazima ,Usafi ,kodi ,halmashauri usafi,umeme ,vocha n.k
Tafuta biashara ata mbaya mtaji mdogo kipato kikubwa ata kuuza Mkaa au unanunua mashine ya Kutengeneza Mkaa kwa kutumia matakataka kazi ambayo hesabu zinajulikana ua mgahawa n.k
Kuna jamaa ana chaneli yake ya Mgahawa mahali akiwaachia vijana kila siku anapitia Elfu Themanini(80000) haina mjadala na hapo weo wameshajilipa.
Jiongeze mkuu Duka hutoboi kwanza yamekuwa mengi siku hizi kila Mtu kazi ni hiyo
Nakubaliana naye aliyesema hivyo, mwenye mawazo ya kimkakati kweli hafanyi biashara ya Duka la mahitaji ya nyumbani...Biashara niile inayo Scale na kukua binafsi hakuna biashara nitakuja ifanya kama hii ya duka.
Hapo sasa itabidi ajiridhishe kuhusu uimara wa hiyo biashara na kampuni ili asije akapatwa na asiyoyatarajia, na muhimu kama ataridhika na mwenendo wa hiyo biashara/kampuni basi awe sehemu ya control hasa kwenye finances
Muda si mrefu utasikia amemuunga q-net.
Mkuu sijaweka hapa namba ya simu nichangiwe au sijamwambia mtu aniPM.Nilijua tu utakuja kuwa mkali maana watu kama nyie mnaowaona wenzenu kama fursa mkiambiwa ukweli mnaona kabisa ndege anaruka.
Ndio naona kitakachotokea hapo mkuu.Wabongo wakiwa wanataka hela yako wanakuaga na lugha nzuri sana,mambo yakiharibika huko mbele ya safari ukiulizia pesa yako utaambiwa hio mil 5 utasema nayo ni hela ya kunisumbua.Sasa we fanya unachotaka.
Kampuni yako ni ipi na inafanya nini?Kama Kweli Una Nia Ya Mafanikio Wekeza Kwenye Biashara Yangu ( Parnership ) Kwa Kuwa Utakuwa Kwenye Makaratasi Yote Kisheria Na Utajua Kila Kinachoendelea Kwenye Kampuni.
Biashara Ya Mahitaji Ya Majumbani Ni Za Kizamani Na Hazina Mwendeldzo Na Hazifai Kabisa Kwa Kijana Anaefikiria Kwa Karne Ya 21.
Ukiwekeza 10 Milioni Kuna Uwezekano Kabisa Wa Kuzalisha Mpaka Milioni 1 Kwa Mwezi Wakati Kwa Duka La Kawaida Huwezi Kupata.
Kumbuka Ukikopa 10M NMB Utakuwa Ukikatwa 253,000 Kila Mwezi Kwa Miaka 5 Na Kwa Kuwa Mshahara Wako Ni Tsh 353,000 Utcakiwa Na Nini Kwa Kuishi Miaka 5 Ijayo ?
Kama Kweli Una Nia Ya Kutoka Kimaisha, Wekeza Kwangu Na Kampuni Itakuwa Inalipa Mkopo Wako Wakati Wewe Ukiwa Aidha Na Kipato Kile Kile Pamoja Na Umiliki Wa Kampuni Au Zaidi.
Ila Duka La Mazaga Tena Kwa Kumweka Mtu, Utajuta Kwa Miaka 5 Ijayo.
Inabidi aweke hilo wazi, hajawahi kujibu hilo swali mkuuKampuni yako ni ipi na inafanya nini?
Anzisha uwakal mkuu, tia mpesa, tigopesa,equity,nmb n.k hio sio rahisi kuibiwa mkuu hata kama usimamizi utakuwa hafifu.Duu, pamoja na riba ntarudisha kama 6.2 mil kwa miaka miwil na nusu,
Nifanyeje sasa mana mshahara naona tu haunitoshi zaid ya kunifanya niwe nasubr sms ya nmb kila mwisho mwez ili nilipe maden
Jamaa nanga inapaa, hawezi sema hio kampuni yake maana ni mpigaji.Nilijua tu utakuja kuwa mkali maana watu kama nyie mnaowaona wenzenu kama fursa mkiambiwa ukweli mnaona kabisa ndege anaruka.
Swali lako haliwezi kujibiwa kwenye public platform Mkuu.Kampuni yako ni ipi na inafanya nini?
Tuma p.m basiSwali lako haliwezi kujibiwa kwenye public platform Mkuu.
I'm not that desperate, naijua vizuri nchi hii na watanzania.
Kila mtu anajifanya ana uwezo wa kupush mambo kivyake.
Imagine mtu mpaka anatamani sheria ya makampuni ingekuwa inaruhusu mtu mmoja !!
Juzi tu hapa KijanaHuru katoka kuibiwa wazo lake na HKigwangalla unategemea na mimi niweke hapa that easy !!
Juzi nilikutana na mtu kwenye Panton Kigamboni anauza ramani za Nyumba.Tuma p.m basi
Haina kambaya mkuu.Juzi nilikutana na mtu kwenye Panton Kigamboni anauza ramani za Nyumba.
Baadhi ya watu kama wewe wakawa wanamwomba wazipige picha.
Yalikwa ni maamuzi kukubali au kukataa.
Siwezi kukutumia chochote mkuu.
Relax