ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,131 Reaction score 937 Jan 28, 2015 #1 Wakuu, sasa kumekuwqa na utitiri wa Benki na mashirika ya kifedha yanayotoa mikopo. Nataka kukopa Benki yenye liba nafuu inayotoa mikopo kwa watumishi ambao haina longolongo. Nahitaji kupata mtaji wa biashara kwa dhamana ya mshahara wangu.
Wakuu, sasa kumekuwqa na utitiri wa Benki na mashirika ya kifedha yanayotoa mikopo. Nataka kukopa Benki yenye liba nafuu inayotoa mikopo kwa watumishi ambao haina longolongo. Nahitaji kupata mtaji wa biashara kwa dhamana ya mshahara wangu.