Wakuu, sasa kumekuwqa na utitiri wa Benki na mashirika ya kifedha yanayotoa mikopo. Nataka kukopa Benki yenye liba nafuu inayotoa mikopo kwa watumishi ambao haina longolongo. Nahitaji kupata mtaji wa biashara kwa dhamana ya mshahara wangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.