pH 7 Member Joined Aug 10, 2014 Posts 89 Reaction score 35 Aug 24, 2014 #1 Habari wana Jf. Nahitaji kununua kuku wa kienyeji wa kufuga, at least mwenye umriwa miezi 4. Aina yeyote(Malawi, chotara....). Nita furahi niipata muuzaji aliepo Mkoani MWANZA ili iwe rahisi kuwapata. Natanguliza shukran. Attachments kuku.png 16.5 KB · Views: 134
Habari wana Jf. Nahitaji kununua kuku wa kienyeji wa kufuga, at least mwenye umriwa miezi 4. Aina yeyote(Malawi, chotara....). Nita furahi niipata muuzaji aliepo Mkoani MWANZA ili iwe rahisi kuwapata. Natanguliza shukran.