Nataka kuku wa kienyeji

Nataka kuku wa kienyeji

pH 7

Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
89
Reaction score
35
Habari wana Jf.

Nahitaji kununua kuku wa kienyeji wa kufuga, at least mwenye umriwa miezi 4. Aina yeyote(Malawi, chotara....). Nita furahi niipata muuzaji aliepo Mkoani MWANZA ili iwe rahisi kuwapata.

Natanguliza shukran.
 

Attachments

  • kuku.png
    kuku.png
    16.5 KB · Views: 134
Back
Top Bottom