Nataka kukua ki biashara na kukuza kipato wataalam wa biashara mnisaidie

Joined
Oct 18, 2013
Posts
12
Reaction score
2
Mimi ni mfanya biashara mdogo nina miliki duka dogo naitaji kupata uzoefu wa kibiashara kutokana na kwamba sio mzoefu sana katka biashara embu wataalamu hapa mnipe mbinu za kukua kibiashara but sitaki shortcut mbinu na njia halali zitanifaa zaidi

naomba kuwakilisha mada
 
Invest... then re-invest....
Invest in what works for you.., vile vyote unayoona vinauzika sana viuze ukipata faida viongezee zaidi uendelee kuuza..., unapokizi demand.., tafuta vingine vinayouzika vinavyoendana na biashara yako navyo uviuze..

Kama biashara yako haiitaji usimamizi wako binafsi tafuta location nyingine wanazohitaji bidhaa zako/service yako na penyewe ufanye kama ulivyofanya mwanzo..

This is the Only Law in Business / Profit

Invest and Re-investing.., ingawa ukiwa kwenye biashara yenye ushindani innovation can play its part as well...
 

Well said,,Good advice but next time try to use swahili for the benefit of many and for the future use as well,, also try to use simple connotations( your so tactical) so that non educated can be apprehended, i have been follow up your comments recently in various forums your a good analyst! Big up brother!!!
 
Ndugu nicheki kwa namba 0655040772 kama kweli upo serious na ntakushauri nini cha kufanya ili biashara yako ikue..
 
Anatoa namba ili amuibie tu! Toa ushauri hapa jamvini
 
Unakataza nini na unafanya nini. ni shiidaaah
 


Na wew umeongea kingereza pia
 
Jaribu pia kushift kwenda manufacturing. Fanya food processing inalipa sana kwasababu watu wanahitaji kula. Ila retail business ni challenging kwasababu unagawana faida kuanzia mzalishaji wholesaler had kwako. Shift kwa kilimo, ukiwa serious profit generation ni kubwa, keep reinvesting had uweze kuweka manufacturing facility kwako.

Biashara kama yako ngumu sana kutoka. Utafanya hvyo hata miaka 10 hutatoka kama unavyowaza.
 
Hongera kwa kuanzisha biashara. Hata kama ni ndogo Lakini yaweza kukua: ushauri

1: kwa sababu unaingiza pesa, cha kwanza kabisa simamia pesa ya biashara vizuri. Fanya yafuatayo:
a) Tunza kumbukumbu za biashara yako, mauzo, matumizi, taslimu, wadai, wadaiwa, maujudi nk
a) Kikotoa kila wiki/mwezi kujua faida uliyopata.
c) Tumia faida kidogo inayobaki weka akiba.
d) Akiba ikifikia kiasi fulani wekeza katika biashara yako.

Nakutakia kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…