Nataka kulala,sasa sijui nimgegede member gani ndotoni?

Hahahahahhahahahaa

Hakuna voice note humu nicheke????
Mkuu umenifanya nicheke hadi machozi yamenitoka duh.
Yaani hapa naandika huku nacheka ujue ulivyouliza voice note.
Nafikiri hili la voice linapaswa kuwekwa khaa
 
Mkuu umenifanya nicheke hadi machozi yamenitoka duh.
Yaani hapa naandika huku nacheka ujue ulivyouliza voice note.
Nafikiri hili la voice linapaswa kuwekwa khaa
Hahaha kwa kweli we ndo umeniua mbavu hahahaa eti ndotoni unaweza ukamuona msichana mrembo mara gafla kaja bujibuji hahahhhahaha nimecheka sana,na nimecheka na mengi[emoji23] [emoji23] [emoji23]

giLEsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…