Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Panda tu usijarNa ulivyolala hivyo mimi huku hoi taabani loh
Kaz kwakoNitakupa mrejesho nimepiga ngapi,na kama ni kona,penati ama faulu.
PoaSawa mrembo,nashukuru kwa ushirikiano.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usingizi ukija popobawa anakula mzigo wako wa kambuni ya simu ya Tigo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh teh,ndoto za ajabu unaweza ukamuota mtoto mdhuri mara anatokea bujibuji loh
HahahahahhahahahaaTeh teh,ndoto za ajabu unaweza ukamuota mtoto mdhuri mara anatokea bujibuji loh
Kuvua nini tena?Yap yap naona umeamua kuvua mkuu
Chukua tahadhari kabla ya hatariTeh anachangia kwenye uzi wangu mwingine wa michezo kule.
Akijua nilichokiandika sijui ataniendea kwa Mshana kushtaki?
Anavua samakiKuvua nini tena?
Sikufikiri kingine zaidi ya viatu mkuuViatuuuu, wewe umefikiri nini mkuu?
Hahaha kwa kweli we ndo umeniua mbavu hahahaa eti ndotoni unaweza ukamuona msichana mrembo mara gafla kaja bujibuji hahahhhahaha nimecheka sana,na nimecheka na mengi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu umenifanya nicheke hadi machozi yamenitoka duh.
Yaani hapa naandika huku nacheka ujue ulivyouliza voice note.
Nafikiri hili la voice linapaswa kuwekwa khaa
Hahaha kwa kweliAnavua samaki