Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuamini kama ndoto zako zinaweza kutimia tu. Ila baada ya kusoma soma nikaona yawezekana. TehDuh mkuu kulikoni kusoma mara zote hizo mpaka?
haya karibu mwayaSikuwa na usingizi hata mara nikajikuta naanzisha mada hiyo.
Ila nashukuru ilipata wateja teh teh.
Hahahahaaaaa. Wacha weeee. Vp uliwapata na mie unigaiemo?Teh teh wala hazikutimia mkuu,nimeota eti niko porini natafuta natafuta dagaa mchele.
Mbona umechelewa mkuu.Katoto kadhuri kwenye avatar kwahyo unasubir kugegedwa ndoton na mapipando
nilikuw nangalia bunge live mkuuMbona umechelewa mkuu.
Hahaaa. Pole basi.Bwana wee niwapate wapi,nimechanja mbuga hapa nilipo nipo hoi hatari.
asante nishipoaTeh teh teh mkuu nilijikuta tu naandika hiyo makitu.
Pole kwa mshituko mpendwa.
Hahahahahahaaaa!;!;!;!;!!!!!!!!Usingizi ukija popobawa anakula mzigo wako wa kambuni ya simu ya Tigo.
Mbavu zangu mie!!!!Teh teh,ndoto za ajabu unaweza ukamuota mtoto mdhuri mara anatokea bujibuji loh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usingizi ukija popobawa anakula mzigo wako wa kambuni ya simu ya Tigo.