Nataka kulima kitunguu maji

Nataka kulima kitunguu maji

kj75

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
539
Reaction score
637
Habari Wana JF,

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nataka nilime kitunguu maji nikiwa serious.

Wenye uzoefu na zao hili au mwenye ABC pia naomba anipe ushauri changamoto, cost na maeneo ambayo zao hili linastawi vizur Zaidi
 
Kitunguu cha vuli ujipange mkuu kwasababu wadudu na magonjwa ni mengi sana,Pia karibu uje ulime kitunguu huku Same/makanya/Hedaru kuna mashamba mazuri ya mto ila uwe pump maana maji ya mfereji ni changamoto
 
Asante mkuu mkoa gani huko???
 
Back
Top Bottom