Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Habari zenu wana B&E,
Nahitaji nijishughulishe na kilimo hasa cha mahindi kwa kuanzia ekari 40 or 50 next year.
Ni mikoa gani ambako kupo vizuri kwa kilimo hiki? sehemu ambayo naweza pata eneo la kukodi.
Ni vitu gani muhimu vinahitajika ili niweze fikia lengo?
Mbimbi.