Nataka kulipiza kisasi

Mkuu nisamehe Sana sio kwamba nilikudharau lakini mkeo alikuwa ananitaka mwenyew napili mkeo nimtamu Sana ndo maana nlishindwa kujizuia, naomba tuyamalize haya mambo njoo PM tuyajenge mkuu... Lakin mkeo mtamuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa siriaz mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Fanya unacho jisikia wewe kufanya. Binafsi siwezi kukwambia umfanyie nini maana maumivu ya kugongewa mke unayo wewe, hivyo hasira zako ndio muongozo wako kwa sasa na sio ushauri tena
 
Revenger,
Usifanye maamuzi ya kudumu kwa mambo ya muda mfupi, una uhakika gani kwamba ataumia kama wewe? maana yawezekana yeye si mdhaifu kama wewe akapona haraka nawe maumivu yako yakaendelea kudumu tu.

Binafsi, najua kuna kipima joto tu yaani themometer sina uhakika kama kuna kipima maumivu ambacho kitakuonyesha ni maumivu kiasi gani mtu atayapata akifanyiwa kiasasi.

If you want to revenge then dig two graves one being for yourself.
 
Kule Tanga Jamaa aliegongewa aliamua kumfiller mgoni wk huku mke anashuhudia! Wakati anamsukumia ubboo akamlazimisha amwimbie taarabu ile ngoma TX Mpenzi ya Kopa! Jamaa baadae alimsihi yule mme asimtamgaze. Mume akasema hawezi! Wenyewe ss hv wanaelewana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya unacho jisikia wewe kufanya. Binafsi siwezi kukwambia umfanyie nini maana maumivu ya kugongewa mke unayo wewe, hivyo hasira zako ndio muongozo wako kwa sasa na sio ushauri tena
Akifanya anachojisikia, atarajie kisicho tarajiwa.

Akifanya kinachompasa anaweza pata sahihi anachokitaka na kinachomfaa.
 
asili ya kutenda kosa... 1.kujipatia pesa. 2. umasikini 3. kisasi...... mtoa mada kisasi ni miongoni mwa sababu kubwa iliyowapeleka watu gerezani. najua hali unayopitia for my exprience nimehudhuria sana kesi mbali mbali za mahakama kuu asilimia kubwa ya mashtaka makubwa ni visasi... jitahidi kipindi hiki kigumu kumuomba Mungu kwa imani yako kwenda nyumba za ibada utapata ahueni kwa hali uliyonayo , sauti inayokujia ya kutenda kisasi ikatae jua huo ni mtihani tu utapita, jua Mungu anapima imani yako uckubali uwaache wanao kwa ajili ya mama yao na makosa yake.
kaka kuna watu humu jf wamepitia mitihani mikubwa zaidi ya hiyo. ulimwengu una mengi sana vuta subra kuwa mjinga pendelea kukaa na watu watakao kupa mawazo chanya ya kukabiliana na hiyo changamoto...pole sana kaka...Mwisho ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ur a poor judge of character. Why did u marry her at the first place?

In a relationship a man has to determine the end from the beginning.
U were recklessly and negligently
Nimekuelewa but that is one side of the coin,people change mkuu,and a woman is built to change according to what she wants at a certain time..unaweza kua ulimuoa akiwa saci kabisa,then akaanza kubadilika kutokana na matabia alizoanza kujifunza baada ya kuwa nawewe ndoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…