punguza presha my ozzbend...usije ukafa ukaniacha mjane bado kigori mie!!! na sitaki kukaa mpweke!!!
pliiz babe..poa moyo usijetanuka bure!!!
Natangaza rasmi, kua nataka nimchumbie mke wa sosoliso awe mke mdogo, kibubu changu karibia kiteremshe freelander from UK ya 2012.
Copy: dadi Bishanga
mama mdogo The secretary
mama mzazi gfsonwin na Mamndenyi
- Umemkorofisha mtoto mzuri mimisa akakupiga kibuti..
- umerukaruka hapa mtaani kila mti ukiugusa unateleza..
- sasa unajaribu kutaka kuugusa mlingoti wa chuma uliotegeshwa umeme wa 240kv..
- pamoja na kwamba unarithi tabia ya baba yako Bishanga ila sasa unapitiliza.. japo wanasema cha kurithi kinapitiliza..
- natangaza vita rasmi na wewe manoah..
cc Bishanga & The secretary..
ruksa mwanetu kifungu kimehakikiwa hakuna pingamizi nitakupa mahari
good my mother mpendwa kuliko vyote.........!
We mchukulie mke amezidi kusakama familia yetu
We mchukulie mke amezidi kusakama familia yetu
noooo huyu hafai kuachiwa nyumba....huyu tungempeleka shamba kimbiji...........kule kunamfaaaa
mmmmmh na kuonea huruma sana hata usitamani Paloma na sosoliso wamezoea kufumaniana lakini hadi sosoliso ana taka kukimbia maana si mchezo alaf lazima ujue Paloma ana nyanyua chuma kama unge pata bahati ya kumuona sosoliso alivyo haribiwa uso kwa ngumi na vichwa vya paloma usinge tamani. yani naona kama una chukua sumu ya panya na kutaka kuinywa,
mie sija mtamani, ila ninampenda nataka awe mke mdogo..
kauli atanisaidia kuifuta dadi!