Nataka kumchumbia mke wa sosoliso....

manoah hapo umechagua, tena nakusihi umalize mipsngo mapema maana Paloma hana shida saaana ila huyo sosoliso ndo ana wivu kama nini.

Nilikuwa najiuliza kla siku "nitapata wapi shemeji atakaye mrisi SOSO maana sijatokea kumpena"

1. Haendani kabisa na Paloma maana Soso ni lirefu kama nini hala Palo ni mfupi kama nukta.
2. Soso ana likitambi likubwa hivyo anatembeaga kwa shida.
3. Soso hajui kuongea vizuri kilugha chetu.
 
Last edited by a moderator:
Si nimesikia ameenda zanzibar kujipumzisha??????
 
Paloma zali la mentali hilo limekushukia na freelander juu,Mungu akupe nini,changamkia mkoko,haya mambo ya kumtembelea sosoliso kwake mbagala charambe kwa chai maharage ,choo passport size achana nayo,mwanangu manoah juzi tu nimemnunulia nyumba sinza.
Sos: inspekta haroun.
 
Last edited by a moderator:
Acha hizo wewe,kama Mr Rocky kakumwaga hayo ya kwako.
 
Last edited by a moderator:
We sosoliso unatangaza vita kwa kabunduki kako hako ka mchina,utaiweza vita wewe,una hela ya kukodi mamluki wewe?
Kopi aione Paloma
 
Last edited by a moderator:
punguza presha my ozzbend...usije ukafa ukaniacha mjane bado kigori mie!!! na sitaki kukaa mpweke!!!
pliiz babe..poa moyo usijetanuka bure!!!

We endelea tu kumpaka sosoliso mafuta kwa mgongo wa chupa wakati nyendo zako tunazijua.... manoah juu juu juu zaidi!
 
Last edited by a moderator:

Paloma umempata uzuri saudari au nikutafsirie kikwenu?
 
Last edited by a moderator:
watu wana hasira na wapenzi wao duh!

Shem wangu mimisa imekuaje tena na kaka yangu manoah ? Ile ndoa yangu feki na yule jambazi iliisha sasa najipanga upya umbue ni suggestie nani ni hook nae recently maana upweke umenishinda
 
Last edited by a moderator:
Best, wanatusakama hawa! Na sie ndo kwanza twazidi kupendana! sosoliso nampenda sana mwenzenu, mpaka nauonea wivu moyo wangu mwenyewe!
kumbe haijazama bado wacha nishangilie. Then Paloma hana tabia hiyo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…