Nataka kumchumbia mke wa sosoliso....

Akiwa mashuani ni nahodha, ingawa anakaa nyuma mashua inafika salama swalmat! Hali kadhalika motokaa huendesha kwa umakini, mafuta haishiwi hovyo,oil iko safi na maji pia! huwa makini na mashimo, seatbelts mpaka mwisho wa safari! Tonykp nampenda sana nahodha na dereva wangu sosoliso huwa hakatishi safari
Hata mi naona.........sasa sosoliso ni nahodha au dereva?kwa mfano......
 
Last edited by a moderator:
manoah naenda bububu kukuroga upate mwanamke akutulize! Tena hapa nimekufanyia feva sana baada ya kuombwa sana nisiharibu kifanyio chako. Mshukuru huyu unayetaja kumuibia mkewe! Ana utu sana na huruma huyu sosoliso
 
Last edited by a moderator:
Best, wanatusakama hawa! Na sie ndo kwanza twazidi kupendana! sosoliso nampenda sana mwenzenu, mpaka nauonea wivu moyo wangu mwenyewe!

wala usitie shaka hawawawezi mmezaliwa mzeeke pamoja jaman best
 
Last edited by a moderator:
saudari usiwe na shaka.. mapinduzi yanashika kasi

 
Last edited by a moderator:

Like son like baba yake.
 
Last edited by a moderator:
good! Dadi muambie huyo

 
unaniroga ili nitulie na mke wa sosoliso?

manoah naenda bububu kukuroga upate mwanamke akutulize! Tena hapa nimekufanyia feva sana baada ya kuombwa sana nisiharibu kifanyio chako. Mshukuru huyu unayetaja kumuibia mkewe! Ana utu sana na huruma huyu sosoliso
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli mwenyekiti, huyu amemkosea sana nidhamu mume wangu! Naomba kwa heshma ya ofisi yako huyu manoah achukuliwe hatua za kinidhamu! Ozawaiz mimi nitachukua hatua zangu binafsi na nitaomba nisiingiliwe!
Umevurugwa eeh..!??? tuonane ofisini..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…