Nataka kumchumbia mke wa sosoliso....

Hapana. Hawezi pata adhab maana hatanicheat! Ila manoah na kizazi chake, meaning na baba yake pia, watatembea vifanyio viko kichwani!
aiseeeee na siku sosoliso akiku cheat utanfanzia hivo hivo?
 
Last edited by a moderator:
Mh! Wanasema kuwa mapenzi ni sawa na upofu, ila hii ya kumpenda mke wa mtu Paloma ni zaidi ya hatari.

Hivi manoah kumbe siku hizi Prof. Kondoro anawahamasisha kutangaza hadharani mapenzi yenu kwa wake za watu!
 
Last edited by a moderator:
usiwe mkalii ivyo bebe Paloma

Kwa kweli mwenyekiti, huyu amemkosea sana nidhamu mume wangu! Naomba kwa heshma ya ofisi yako huyu manoah achukuliwe hatua za kinidhamu! Ozawaiz mimi nitachukua hatua zangu binafsi na nitaomba nisiingiliwe!
 
Last edited by a moderator:

Halafu wewe saudari ntakupeleka mpitimbi ukale na nyoka na kulala na nguruwe..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…