Mke wangu The secretary una busara ka za mfalme suleiman,thanks! Mmmmmmwwwwaaaaaa i love zaidi kila kukicha.
Haya bhana, naona huna hela ya bia leoHuyu hana tofauti na Bujibuji.. Anapenda sana wake za watu..
Haya bhana, naona huna hela ya bia leo
Mechi zingine bhana sasa wewe na wake za watu...
Duh!
Wallet imejaa makarata, sijui anafanyia nini hizo karata.Unaijua hata wallet yake inafananaje?
Wallet imejaa makarata, sijui anafanyia nini hizo karata.
Pia kuna Kitambulisho cha shule ya msingi, baba zima na midevu anakitambulisho cha primary, sijui ndio anawakomoa makonda?
ss ebu nambie unapenda mrefuu au mfupi?,mwembambaaa au mnenee,mzuri saanaa au wa kawaida tu?..mwenye mapenz ya kwelii au ya uongo?..apo ukimaliza kujib kna maswali mengne yaja..ila mwsho wa siku utachagua mwnyeweee
mweupe wa asilii au mchubuo pia unahusika? ss unataka mwenye mpz ya kweli ww unayo? haya..karibisha application letaz waambatanishe na cv na picha..unachagua sn ucje umiza mtu moyo tu..