Nataka kumili bastola sheria zake zipoje kwa hapa Tanzania?

Nataka kumili bastola sheria zake zipoje kwa hapa Tanzania?

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,074
Reaction score
6,472
Kwa pesa na umaarufu nilio nao kuna umuhimu wa kumiliki bastora ili inisaidie kujilinda maana uwezo wa kuajili mabodigadi sometime wanaweza kula rushwa waniuze Boss wao.

Wakuu naombeni mwenye kujua bei na zinakopatikana na sheria zake?
 
1. Uwe na akili timamu
2. Uwe unamiliki pesa, usiwe mlala hoi
3. Kibali kutoka kwa police

Kama upo iringa, nenda karibu na CRDB ya zamani, au njia ya kwenda gangilonga kutokea chuo cha RUCU, kuna duka la kila aina ya bunduki..
Biashara ya bunduki... naiona fursa apa.
 
Kwa pesa na umaarufu nilio nao kuna umuhimu wa kumiliki bastora ili inisaidie kujilinda maana uwezo wa kuajili mabodigadi some time wanaweza kula rushwa waniuze bos wao wakuu naombeni mwenye kujua bei na zinakopatikana na sheria zake ?
Una nini cha kulinda lofa wewe hadi umiliki bastola?

Umejaa ulofa kuanzia kichwani hadi miguuni
 
Kwa pesa na umaarufu nilio nao kuna umuhimu wa kumiliki bastora ili inisaidie kujilinda maana uwezo wa kuajili mabodigadi sometime wanaweza kula rushwa waniuze Boss wao.

Wakuu naombeni mwenye kujua bei na zinakopatikana na sheria zake?
Take it
 
Back
Top Bottom