Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,042
- 2,005
Bora mno!hasa akienda vijijini huku atapiga hela!Wazo bora sana hilo.
Chukua huo ushauri wa mdau hapo chini khs hivyo vitabu vya kusoma ila khs hio class ya huyo anayeitwa sirjeff usipoteze muda wako kwenda kumpa mtu your hard earned money(kiingilio) cha Tsh.40,000 bora hio hela ukale pombe au ukatombee tu.Habari wakuu wangu.
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi, ndoto yangu ni kuja kumiliki shule kuanzia chekechea mpaka Form Six. Ni vitabu gani na inspirations zipi naweza kuzipata katika hali ya kujifunza zaidi na kupata maarifa ya hicho kitu kabla sijaingia kwenye field? Lengo kila siku nisome kitu kipya kuhusu hilo. Wajuzi niambie ni vitabu gani naweza vipata na kuvisoma daily vya kunijenga nifikie mafanikio yangu.
Vitabu vya personal development, Motivation, Finance na Leadership vitakufaa.
Anza na ‘Own your Cooperation’ usisaau class ya sirjeff pale Weekend.
Ngoja waje wenye chuki zaoVitabu vya personal development, Motivation, Finance na Leadership vitakufaa.
Anza na ‘Own your Cooperation’ usisaau class ya sirjeff pale Weekend.
Vitabu vya personal development, Motivation, Finance na Leadership vitakufaa.
Anza na ‘Own your Cooperation’ usisaau class ya sirjeff pale Weekend.
Sir Jeff aka ONTARIO ni Tapeli tu.Ngoja waje wenye chuki zao
Ulikuwepo kwenye Group lake la TMT? Uliona malalamiko ya Members mule?SIO KWELI
NIMEKUKATALIA KWA HERUFI KUBWA
narudia tena kusisitizaUlikuwepo kwenye Group lake la TMT? Uliona malalamiko ya Members mule?
Usibishane naenarudia tena kusisitiza
ONTARIO SIO TAPELI.
Fake IDs zaweza kukubishanisha hata na huyo huyo ONTARIO mwenyewe lakini usiweze kujua sababu kuna mawatu yanatumia multiple Ids humu.Ulikuwepo kwenye Group lake la TMT? Uliona malalamiko ya Members mule?
Braza YOU CAN..Habari wakuu wangu.
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi, ndoto yangu ni kuja kumiliki shule kuanzia chekechea mpaka Form Six. Ni vitabu gani na inspirations zipi naweza kuzipata katika hali ya kujifunza zaidi na kupata maarifa ya hicho kitu kabla sijaingia kwenye field?
Lengo kila siku nisome kitu kipya kuhusu hilo. Wajuzi niambie ni vitabu gani naweza vipata na kuvisoma daily vya kunijenga nifikie mafanikio yangu.
Zenye hela nini?Kwa sasa hazina hela