Nataka kumiliki shule kuanzia chekechea mpaka kidato cha sita

Nataka kumiliki shule kuanzia chekechea mpaka kidato cha sita

Abdul Mganyizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2019
Posts
1,042
Reaction score
2,005
Habari wakuu wangu.

Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi, ndoto yangu ni kuja kumiliki shule kuanzia chekechea mpaka Form Six. Ni vitabu gani na inspirations zipi naweza kuzipata katika hali ya kujifunza zaidi na kupata maarifa ya hicho kitu kabla sijaingia kwenye field?

Lengo kila siku nisome kitu kipya kuhusu hilo. Wajuzi niambie ni vitabu gani naweza vipata na kuvisoma daily vya kunijenga nifikie mafanikio yangu.
 
Vitabu vya personal development, Motivation, Finance na Leadership vitakufaa.

Anza na ‘Own your Cooperation’ usisaau class ya sirjeff pale Weekend.
 
Habari wakuu wangu.

Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi, ndoto yangu ni kuja kumiliki shule kuanzia chekechea mpaka Form Six. Ni vitabu gani na inspirations zipi naweza kuzipata katika hali ya kujifunza zaidi na kupata maarifa ya hicho kitu kabla sijaingia kwenye field? Lengo kila siku nisome kitu kipya kuhusu hilo. Wajuzi niambie ni vitabu gani naweza vipata na kuvisoma daily vya kunijenga nifikie mafanikio yangu.
Chukua huo ushauri wa mdau hapo chini khs hivyo vitabu vya kusoma ila khs hio class ya huyo anayeitwa sirjeff usipoteze muda wako kwenda kumpa mtu your hard earned money(kiingilio) cha Tsh.40,000 bora hio hela ukale pombe au ukatombee tu.
Vitabu vya personal development, Motivation, Finance na Leadership vitakufaa.

Anza na ‘Own your Cooperation’ usisaau class ya sirjeff pale Weekend.
 
Mtoa mada hili bonge la wazo ila kwa kuongezea tu,,. Usipoteze muda sana kwenye kusoma vitabu we tafuta tu mwenye akupe ABC na changamoto zake yaan utakuwa umemaliza.. pia kwa kuongezea ni vizur ukipata aliyeanzia from scratch yaan chekechea ya kuchukua watoto wajirani wa familia yake hivyo yaaan
 
Kumbe sirjeff ndiye Ontario...sikulijua hili
 
Habari wakuu wangu.

Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi, ndoto yangu ni kuja kumiliki shule kuanzia chekechea mpaka Form Six. Ni vitabu gani na inspirations zipi naweza kuzipata katika hali ya kujifunza zaidi na kupata maarifa ya hicho kitu kabla sijaingia kwenye field?

Lengo kila siku nisome kitu kipya kuhusu hilo. Wajuzi niambie ni vitabu gani naweza vipata na kuvisoma daily vya kunijenga nifikie mafanikio yangu.
Braza YOU CAN..

Kila huanza na NDOTO.

Kuna Uzi humu unahusu vitabu.. Hebu utafute then download..

Mi huwa na download humo.
 
Back
Top Bottom