warzone
Member
- Jan 13, 2023
- 47
- 105
Nilikua namahusiano na mwanamke ila tulikuja kugombana bila sababu akaanza kunichukia,nilipata tabu sana kile kipindi nikajaribu kuwafuata wana jf wachavhe humu jf wanisaidie hata mawazo ,mmoja akakubali kuniumgajisha na mtu wake yupo huko songea sijui mbinga ,baada ya siku nne akaanza kunitafuta yeye ananilalamikia simtaki, Sasa mapenzi Yamezidi natamani nimkimbie maana hana kazi anasubir nirudi kazini mda wote tuwe wote sex akitaka ni muda huohuo hamna kusubiri daah ,Ssijutii maana nilishindwa move on ila ikizidi inabidi niende hata likizo kwanza nyumbani