Nataka kumkimbia mpenzi wangu

Nataka kumkimbia mpenzi wangu

Umejua kuliweka tangazo vizuri sana kama vibonzo vya masoud ila unaelewa kwa uzuuuri
 
Humu vilio haviishi sababu watu wananyimwa safari za uchini wewee unatengewa unavojisikia na muda wowote umekuja humu kutoa taarifa za kutaka kukimbia. Binadamu hawana jema.
 
Nilikua namahusiano na mwanamke ila tulikuja kugombana bila sababu akaanza kunichukia,nilipata tabu sana kile kipindi nikajaribu kuwafuata wana jf wachavhe humu jf wanisaidie hata mawazo ,mmoja akakubali kuniumgajisha na mtu wake yupo huko songea sijui mbinga ,baada ya siku nne akaanza kunitafuta yeye ananilalamikia simtaki, Sasa mapenzi Yamezidi natamani nimkimbie maana hana kazi anasubir nirudi kazini mda wote tuwe wote sex akitaka ni muda huohuo hamna kusubiri daah ,Ssijutii maana nilishindwa move on ila ikizidi inabidi niende hata likizo kwanza nyumbani
Tangazo limekaa kimkakati sana hili
 
Naona umerusha ndoano unasubiri samaki mjinga anase 😎
 
Imbombo ngafu shem, wale wanyaki wana mnyukano mkali.!!

Eti wanasema da Martha anamdid Joan mwanae, anamsaga na kumchuja km blenda la Kenwood 😜🤭
Kodi ngumu, mm aged kidogo maneno ya ujana ujana nipunguzie nikuelewe
 
Back
Top Bottom