Nataka kumpeleka polisi huyu Binti kwa kunichuna zaidi ya 7,000,000 kumbe alikuwa anavaa kigodoro

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Naombeni msaada wa kisheria wakuu kama naweza kumshtaki huyu mwanamke maana mimi tokea naanza kumtokea nilivutiwa na ukubwa wa makalio yake na ndio kitu kilichonifanya hadi nikawa kama ndondocha kila akitakacho nikawa na mpa huku akinizungusha kunipa show.

Nyumba yao mimi ndio nimemalizia lenta hadi bati hebu fikirieni jinsi nilivyochunwa, leo ndio akaja kunipa mzigo lodge moja hapa sinza sasa nashangaa mida ya kuvua kalazimisha taa izimwe nikazima , akavua faster alafu kuna kitu akaficha kwenye pochi yake, ikanibidi niwashe taa faster ile kuwasha tu nikamkuta kapigwa Pasi sio mchezo na kigodoro kakificha kwenye pochi yake

Sasa hapa kuna ugomvi mkubwa nataka nimpeleke polisi nikamshtaki kwa kunidanganya mda wote huo ananichuna kumbe kapigwa pasi

Wakuu inaniuma
 
Vipi kuhusu Ilham mtoto wa kizanzibar?
Au ulikuwa unatupiga kamba?
Au ulikuwa umechepuka?
Kigodoro kinachomfanya mtu aonekane mnene(wowowo) kinawezaje kuishia kwenye pochi?
Au ndo umeamua kutuletea chai tuondoe stress?
Hiyo nyumba umejenga kwa upendo au kwasababu ya ukubwa wa matako yake?
Haujachelewa hapo chini kuna sehemu ya kufuta thread jaribu kubonyeza tu.
 
Tusiovaa vigodoro likes zenu tafadhali pia mleta mada atuambie tunacomment wapi?
-Kwani mlisaini MAKALIO yaweje?
-hizo ni chagamoto za matamanio
-Kwani ushawai mzawadia bi mkubwa nusu tu hela hiyo?
 
Utakuwa umekula korosho wewe. K
Naombeni msaada wa kisheria wakuu kama naweza kumshtaki huyu mwanamke maana mimi tokea naanza kumtokea nilivutiwa na ukubwa wa makalio yake na ndio kitu kilichonifanya hadi nikawa kama ndondocha kila akitakacho nikawa na mpa huku akinizungusha kunipa show.

Nyumba yao mimi ndio nimemalizia lenta hadi bati hebu fikirieni jinsi nilivyochunwa, leo ndio akaja kunipa mzigo lodge moja hapa sinza sasa nashangaa mida ya kuvua kalazimisha taa izimwe nikazima , akavua faster alafu kuna kitu akaficha kwenye pochi yake, ikanibidi niwashe taa faster ile kuwasha tu nikamkuta kapigwa Pasi sio mchezo na kigodoro kakificha kwenye pochi yake

Sasa hapa kuna ugomvi mkubwa nataka nimpeleke polisi nikamshtaki kwa kunidanganya mda wote huo ananichuna kumbe kapigwa pasi

Wakuu inaniuma
Utakuwa umekula korosho wewe. Ndo udindishaji gani huo!
 
Back
Top Bottom