hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaa jamaa kauziwa Sato kwenye gunia sio !!? anafika home ampike kumbe ni kambale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaa jamaa kauziwa Sato kwenye gunia sio !!? anafika home ampike kumbe ni kambale
Utakuwa nshida Fulani kichwani.Naombeni msaada wa kisheria wakuu kama naweza kumshtaki huyu mwanamke maana mimi tokea naanza kumtokea nilivutiwa na ukubwa wa makalio yake na ndio kitu kilichonifanya hadi nikawa kama ndondocha kila akitakacho nikawa na mpa huku akinizungusha kunipa show.
Nyumba yao mimi ndio nimemalizia lenta hadi bati hebu fikirieni jinsi nilivyochunwa, leo ndio akaja kunipa mzigo lodge moja hapa sinza sasa nashangaa mida ya kuvua kalazimisha taa izimwe nikazima , akavua faster alafu kuna kitu akaficha kwenye pochi yake, ikanibidi niwashe taa faster ile kuwasha tu nikamkuta kapigwa Pasi sio mchezo na kigodoro kakificha kwenye pochi yake
Sasa hapa kuna ugomvi mkubwa nataka nimpeleke polisi nikamshtaki kwa kunidanganya mda wote huo ananichuna kumbe kapigwa pasi
Wakuu inaniuma