Huyu mwajiri wangu,tuna mkataba wa mwaka mmoja.
Mshahara anatoa tarehe 50
Mshahara wenyewe mpaka mpigane ngumi ndio anatoa.
Ana matusi balaa.
Nataka nimtoroke..kuna madhara yoyote?
Kumekucha kumekuchaa! Kwanza hapo mimi kama mimi umenidanganya. Kazi umesign mkataba afu mshara utoke umechelewa tena kwa mangumi. Huo ni uongoo. Pili mkataba utautorokaje badala uuvunje au utumie akili ya kuzaliwa ya kuuwa mtu kwa mara ya pili kwenu ukirudi umwambie boss wako kuwa kwetu msiba familia imesema tutaomboleza mwezi mzima akikataa kukupa ruhusa nenda tu nyumban na usirud huko. Kutukanwa na boss wengi hiyo ni kawaida bt ya lakin itategemeana unamtukana nani. Mimi ukiwa boss wangu na matus yako jitayarishe cku moja kuyatafuna live.