Aisee natamani kumuoa huyu mdada, maana daah ananipagawisha sana. Nijuzeni mawasiliano yake na taratibu za posa kwa kabila la Wapare. Nimejipanga na nina mvuto najua akiniona tu atanikubali
Nafikiri jina la baba/ukoo ni Mdee.
Aise huyu mtoto ni mkari mwenye mawasiliano yake anitumie 0715485691
Tahadhari: Mwanaume mwenye mvuto anapaswa kuwa makini na baiolojia yake ya kutoa haja kubwa.