QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 698
Una shilingi ngapi nikupe number zake?
We ni dalali ..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una shilingi ngapi nikupe number zake?
Aisee natamani kumuoa huyu mdada, maana daah ananipagawisha sana. Nijuzeni mawasiliano yake na taratibu za posa kwa kabila la Wapare. Nimejipanga na nina mvuto najua akiniona tu atanikubali
Demu wa mtu yule utageuzwa Martiin Kadiinda bure bw. Joshua
Aisee natamani kumuoa huyu mdada, maana daah ananipagawisha sana. Nijuzeni mawasiliano yake na taratibu za posa kwa kabila la Wapare. Nimejipanga na nina mvuto najua akiniona tu atanikubali
Mkuu boflo lile watu wanachovya kwenye chai linalainika wakunywa na chaiFid Q aliimba usishangae kumwona Martin Kadinda kumbe kuna maana yake..
Kwa hiyo sie tukusaidieje?
Kwani kujuana na watu ni udalali?
We jamaa umevimbaaa ulitaka amchukue dada yako nini!
Vannessa si size yako utahangaika bure mtoto wa kiume!
Hahahahaha,Asprin naona unatoa dozi.Tahadhari: Mwanaume mwenye mvuto anapaswa kuwa makini na baiolojia yake ya kutoa haja kubwa.
Sina dada