Nataka kumuoa Vanessa Mudeeh

Nataka kumuoa Vanessa Mudeeh

Aisee natamani kumuoa huyu mdada, maana daah ananipagawisha sana. Nijuzeni mawasiliano yake na taratibu za posa kwa kabila la Wapare. Nimejipanga na nina mvuto najua akiniona tu atanikubali

0752 273 779
 
Uko serious nikupe number yake? Ila you will be facing big challenges from well off people wanaommendea usiku na mchana.
 
Vannessa si size yako utahangaika bure mtoto wa kiume!
 
Umarioo kazi kweli kweli, Haya Mkuu Joshua-ok kila la kheri Na huo mvuto wako utakukubalia tu... Nenda usiogope
 
Last edited by a moderator:
We kinabo kweli yaani mademu wotr mule ukumbini umemuoana huyo tu
 
Aisee natamani kumuoa huyu mdada, maana daah ananipagawisha sana. Nijuzeni mawasiliano yake na taratibu za posa kwa kabila la Wapare. Nimejipanga na nina mvuto najua akiniona tu atanikubali

Kwa hiyo sie tukusaidieje?
 
Tahadhari: Mwanaume mwenye mvuto anapaswa kuwa makini na baiolojia yake ya kutoa haja kubwa.
Hahahahaha,Asprin naona unatoa dozi.

Naona jamaa hata kujieleza kwa mtoto huyo hatoweza.

Mbaya zaidi amempeneda umaarufu,maana mitaani wapo tu kama Vanessa.Na kwa taarifa yake tu ni kwamba anajamaa tayari na jana alikuwanae kwenye kupokea Tuzo.Sasa wewe endelea Kumvutia kasi chooni kwa sabuni uongeze mende chooni.
 
Back
Top Bottom