Nataka kumuoa Wema Sepetu, mwenye contact yake au anayeweza kuniunganisha

Mwenye namba yake ani pm zawadi nono atapata
 
Mie napajua hadi kwa mama yake njoo nikupeleke mkuu wala shaka ondoa aisehh hongera kwa kufanya maamuzi magumu !!!
 
Sasa wewe unataka kumwoa wema na sisi tutagegeda wapi?wewe gegeda tu...usepe...utuachie tugegede
 
MAAMUZI YA BUSARA MSITIRI ATATULIA NA UTAPATA DHAWABU MBONA YULE WA MENGI ANA WATOTO MAPACHA NA ANA HESHIMA ZAKE KAZA BUTI WIKI IJAYO TUPE MAJIBU
 
Nani kakwambia Wema ana watoto wako unataka uzae nae? Wewe rich enough! Kakwambia anataka tajiri? Mapenzi hayana utajiri. Yuko kwenye tangazo pale anakusubiri kabla hujatuambia!
 
Mkuu kibwenzi hiyo code ni ya bongo ila kifuatacho km no.. ya mwendokasi hivi..
 
Nenda kamcheki dm instagram utampata
 
This is the kind of love my mum used to warn me about. Man you are in trouble ,big big trouble.Please call 999.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…