Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!! utapata wazungu choka mbaya...Waswahili nimewashindwa,kila demu wa kibongo anataka na ya kutolea.
Makato yamezidi , watanifilisi hawa.
Hivyo Ni mitaa ipi nikihudhuria sana naweza pata Toto la mbele huko , haijalishi mjapani au mzungu..
Natanguliza shukrani
We si unataka mzungu na maeneo waliyopo,sasa mbona maswali tena?we nenda huko tandika ukajipatie zungu lako 😝😝Mzungu gani huyo anakaa Tandika?
Tandika hapana makazi.!?Tusidanganyane mzungu hawezi kaa Tandika
Huna bahati Mkuu!! hawa mademu waliojaa bongo hii tena wazuriii mpaka watu wana wakimbia!!! me wanahongwa bado unalialia tuu hapa?? sasa nakuuliza hivi mzungu utamuweza?? ukienda nae ujue kupika msosi!! kuosha vyombo!! kulea watoto!!! naWaswahili nimewashindwa,kila demu wa kibongo anataka na ya kutolea.
Makato yamezidi, watanifilisi hawa.
Hivyo Ni mitaa ipi nikihudhuria sana naweza pata Toto la mbele huko, haijalishi mjapani au mzungu.
Natanguliza shukrani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]🤏[emoji41]Huna bahati Mkuu!! hawa mademu waliojaa bongo hii tena wazuriii mpaka watu wana wakimbia!!! me wanahongwa bado unalialia tuu hapa?? sasa nakuuliza hivi mzungu utamuweza?? ukienda nae ujue kupika msosi!! kuosha vyombo!! kulea watoto!!! na
kulialia yaani umlilie kila siku utaweza?? ukitoka na ukiingia umbusu kila siku!! siyo mara ''sina mood!!
Kma haitoshi yeye kugawa papuchi anapopenda ni haki yake ya msingi!! siyo kuoa km waswahili !! eti umemmiliki nooo!! akim-mind Babab yako sijui mdogo wako anampa papuchi kwa uhuru!! tena anakwambia kabisa!!
baba ako tamu sana kuliko veve!! shauri gani?? nataka dogo yako!! mbote mimi!! ako zuri sana!! ambia yeye kuja hapa mbote mimi!
tena anamwambia mbele yako hivi unaona!! namnukuu ''vevee kuja pata maku juli sana maku ya mzungu hapana taka!
mimi binuka naman huyu! veve pitisha boro kwa chini! shikia tamueee!! maweee! si utamuona hana adabu huyo?? ...utavumilia mpaka utaona sasa hii kero!...mama yako atakataaa!! au labda ukubali kuolewa wewe!! akufanyie hayo!! na ole wako utoroke heee!!
haoni taabu kukupiga shaba yule !! kisa umiza roho vangu kwa nini???...na wao wana haki kuliko mwanaume! ...Ulaya hata ukipigwa shaba shega tu!! ...km mna uwezo kwenu, Manyani nyie mtapigwa danadana tu!!
na ukikaa kule Kaka zake wakupende!! wasipokupenda unalo wao ndo watakupiga shaba faster tu ''ntaaa!'' sanduku /jeneza zuriii jipyaaa, unawekwa ukazikwe kwenu huko!....wivu wa ke mzungu ujianadae kufa kwa shaba any time! ukimvuruga!
Labda umroge! na dawa zimshike kabisaa!! siyo zimkatae heeee!! itakula kwako hutaamini!!! kutotroka huwezi tena !!! kujichanganya na waswahili wenzako no Rhuksa, umempa moyo wako mzungu na kukaa uzungun ni umekaa!!