Raiamwematz
Senior Member
- May 9, 2012
- 104
- 28
Jamani naomba msaada kwa yule mwenye uzoefu na ununuzi wa magari kwenye yard hapa bongo. Ninataka kununua gari aina ya SUZUKI GRANT VITARA, je ni yard ipi wanauza? Na je ni zipi faida na hasara za kununulia gari kwenye yard za hapa bongo.