Nataka kununu gari hapa bongo tz - suzuki grant vitara

Nataka kununu gari hapa bongo tz - suzuki grant vitara

Raiamwematz

Senior Member
Joined
May 9, 2012
Posts
104
Reaction score
28
Jamani naomba msaada kwa yule mwenye uzoefu na ununuzi wa magari kwenye yard hapa bongo. Ninataka kununua gari aina ya SUZUKI GRANT VITARA, je ni yard ipi wanauza? Na je ni zipi faida na hasara za kununulia gari kwenye yard za hapa bongo.
 
Ni vizuri kununua gari kwenye Yard hapa Bongo maana unaliona na utalikagua wewe mwenyewe na kujiridhisha kulingana na kiu yako. Mimi nikwambie ninalo gari aina ya SUZUKI ESCUDO milango 5 zuri tu nalitafutia mteja maana nna shida. Ukihitaji basi Ni pm au tuma email politiburo@yahoo.com tutaongea zaidi. Thanx
 
Back
Top Bottom