Nataka kununua Alteza; ni bora ninunue KUPATANA au BE FORWARD?

Nataka kununua Alteza; ni bora ninunue KUPATANA au BE FORWARD?

Reference Number1516444099

Make:SUBARU

Model:FORESTER

Body Type:SUV

Year of Manufacture:2001

Fuel Type:PETROL

Engine Capacity:1501 - 2000 CC

Customs Value CIF (USD):2555.00

Import Duty (USD):638.75

Excise Duty (USD):159.69

Excise Duty due to Age (USD):958.13

VAT (USD):816.90

Custom Processing Fee (USD):15.33

Railway Dev Levy (USD):38.33

Total Import Taxes (USD):2627

Total Import Taxes (TSHS):5676947

Vehicle Registration Tax (TSHS): 380000.00

TOTAL TAXES (TSHS): 6056947
wakuu naomba kujuzwa naona kama sielewi nimejaribu kuweka figure kwenye kikotoo cha TRA lakini nachoona ni kama gharama za TRA ni kubwa kuliko kulinunua gari na kulisafirisha mpaka bongo gharama halisi ya ya mpaka gari linafika bongo ni 3,438,600 sasa hii imakaaje au mimi ndio sielewi wakuu?naomba msaada
 
Usijifanye unajua kila kitu zingine acha zipite Be forward ni company wewe unasema ni gari

Ha ha ha ha ha, Einsten umetisha hebu weka picha ya hiyo Be Foward watu tuijue..Yawezekana ni gari ambayo ni made in kwenu
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji1]
 
izo nasikia zina ubovu sana wa gearbox boy
BMW 3 series zina matatizo ya gearbox? Nani kakuambia? BMW ipi? Yaani mzee umeniudhi ulivyosema hivi ata kazini kesho siendi.

Chukua BMW e46 318i kaka yake wa huyo Altezza rs200 wako.

Gari yoyote ukiiendesha kwa heshima, ukaitunza kwa service za mara kwa mara, itakaa sana.
 
Reference Number1516444099

Make:SUBARU

Model:FORESTER

Body Type:SUV

Year of Manufacture:2001

Fuel Type:PETROL

Engine Capacity:1501 - 2000 CC

Customs Value CIF (USD):2555.00

Import Duty (USD):638.75

Excise Duty (USD):159.69

Excise Duty due to Age (USD):958.13

VAT (USD):816.90

Custom Processing Fee (USD):15.33

Railway Dev Levy (USD):38.33

Total Import Taxes (USD):2627

Total Import Taxes (TSHS):5676947

Vehicle Registration Tax (TSHS): 380000.00

TOTAL TAXES (TSHS): 6056947
wakuu naomba kujuzwa naona kama sielewi nimejaribu kuweka figure kwenye kikotoo cha TRA lakini nachoona ni kama gharama za TRA ni kubwa kuliko kulinunua gari na kulisafirisha mpaka bongo gharama halisi ya ya mpaka gari linafika bongo ni 3,438,600 sasa hii imakaaje au mimi ndio sielewi wakuu?naomba msaada
Ndo hivyo, tena Kwa sasa kodi utakuwa imepanda zaidi
 
Jaman nataka kuagiza moja kati ya haya naomba ushauri wenu...mnyama yupi ana unafuu hasa kwa hapa dar...naishi alimaua kijitonyama
1.toyota avensis
2. Toyota allion
3. To7yota premio
 
Back
Top Bottom